Psalms 18:35

35 aHunipa ngao yako ya ushindi,
nao mkono wako wa kuume hunitegemeza,
unajishusha chini ili kuniinua.
Copyright information for SwhNEN